Monday, 20 April 2009

UNATAKA KUUZA GARI LAKO?

Katika tovuti hii, unaweza kuuza gari lako kirahisi sana kutumia mtandao. Cha kufanya ni kutuma taarifa kaza tu kwenye kipeperushi hapo chini na gari lako litatangazwa chini ya masaa 12 (kwa uhakika).

Kutuma njia tatu tuu, utakaa chini na kupumzika wakati gari lako linajiuza lenyewe.
  1. Tuma taarifa za gari lako kwenda "zemagari@yahoo.co.uk"
  2. Tuma; Jina la gari, Aina ya gari, mwaka wa gari, miles za gari, namba yako ya simu, kipeperushi chako, na taarifa nyingine ndogo ndogo.
  3. Katika kipeperushi chako, wekesha taarifa zozote ambazo unataka mnunuaji kujua.

2 comments:

Anonymous said...

nikiataka kuuza gari langu kutoka tanzania nitafanyeje?

Ford Maro said...

rahisi tu, tuma taarifa za gari lako kwenda (zemagari@yahoo.co.uk), na litakuepo kwenye mtandao chini ya masaa 6...