Wednesday, 22 April 2009

GARI LENYE BEI KUBWA KULIKO YOTE DUNIANIGARI HILI NDILO LENYE BEI KULIKO MAGARI YOTE DUNIANI, HATA KULIONA TUU, UTAWEZA KUJUA KWAMBA NI GARI MATATA.., LINAUZWA KWA HELA YA KIMAREKANI MILLION 8 dollars, NA KWA SHILLINGI YETU NI 10,925,139,120 ZAIDI YA BILLIONI KUMI.. KULIENDESHA HILI GARI. EMBU TUPATENI KOMENTI ZAIDI HAPO CHINI.

2 comments:

Anonymous said...

dah, ebwana hii gari ni noma, gari la wapi hili, tamu kishenzi kudadeki....

Anonymous said...

Simo Cowel has it!!lol